Magazeti

#Headlines: Wizi wa magari Dar, Lowassa kwenye headlines tena, Tanzania na vurugu za Afrika Kusini.

on

magari 1Ni Jumatatu ya April 20 ambapo kwenye zile zilizoandikwa Magazetini na kusomwa kwenye Power Breakfast ya CloudsFM iko story ya jumla ya magari 400 kuibiwa Dar es salaam kwa mwaka 2013, nyingine kubwa ni  CHADEMA kusema haiko tayari kuikaribisha ACT Wazalendo ndani ya UKAWA.

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa ametaka wauaji wa Albino wapelekwe kwa Rais, waathirika wa dawa za kulevya Dar es salaam wafanyiwa ibada maalum, serikali leo itatoa tamko kuhusu mauaji ya raia wa kigeni yanayoendelea Afrika Kusini na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewahakikishia usalama raia wa kigeni nchini humo na kusema serikali yake itachukua hatua.

Unazitaka stori zote? kuzisikiliza bonyeza play hapa chini >>>>

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments