Magazeti

Uchambuzi stori kubwa Magazetini Feb 5 2016 >>Bungeni? ukatili kwa Watanzania? .. (+Audio)

on

Tayari nimekurekodia stori za uchambuzi wa magazeti kupitia show ya Power Breakfast ya Clouds FM leo Feb 05 2016, baadhi ya stori kubwa ni pamoja na Unyanyasaji kwa Watanzania nchini India, Rais Magufuli asema yeye sio kichaa wala Dikteta.. Aahidi kuifanyia mema Nchi hata akifa awe Rais Malaika, Mke wa David Kafulila kusimamishwa  kuhudhulia vikao vya bunge, Serikali yaeleza sababu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.

Zote hizi unazipata kwenye hii sauti hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments