Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti April 22 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

April 22 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

Magufuli wanaotetea majipu tutawatumbua, Wakati baadhi ya taasisi za haki za binadamu, wasomi na wanasisasa wakikosoa mfumo wa Rais John Magufuli, wa kuwawajibisha watenadaji wa umma kiongozi huyo wa nchi amesema wanaotetea watendaji wanaowajibishwa, nao ni majipu na ataanza kuwafuatilia

UKAWA yazidi kuitikisa CCM, Diwani wa kata ya Kiwalani kwa tiketi ya CUF, Musa Kafana ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es salaam akimshinda mpinzani wake Diwani wa kata ya Mchafukoge Mariam Lurinda kwa tiketi ya CCM

ACT yasaka Katibu Mkuu mwingine, Mwenyekiti wa Chama cha ACT  Wazalendo Anna Mghwira ameiagiza kamati ya mafunzo na uchaguzi kuanza mchakato wa kumpata Katibu Mkuu wa Chama hicho baada ya kujiuzulu kwa Samson Mwigamba.

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments