Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti April 25 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

April 25 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

Siri yafichuka sakata la Lugumi, Sakata la uwekaji wa mashine zakielektroniki za utambuzi wa alama za vidole (fingerprint), kati ya kampuni ya lugumi Enterprises Ltd na Jeshi la Polisi Tanzania, siri yake imefichukua

Wabunge tunadai mabilioni ya Acacia, Kamati ya Bunge ya Nishati n Madini imeitaka Serikali kuingiza kwenye  makadirio yake ya bajeti ya mwaka 2016/17 maduhuli yatokanayo na kodi inayodai kwa kampuni ya Madini ya Acacia.

Muongo afichuchua siri ya ushindi, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, amefichua siri ya Tanzania kushinda mpango wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima katika Ziwa Albert nchini uganda hadi katika bandari ya Tanga utakaogharimu dola za marekani bilioni 4

Bonyeza play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIMISS HII YA PROF JAY ALIVYOKUTANA NA WANANCHI WAKE APRIL 16 2016 ITAZAME HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments