Magazeti

Kwenye Uchambuzi wa stori Magazetini >> Ugonjwa uliozuka Sengerema, Bajeti TZ.. Urais 2015 (Audio)

on

15

Kuna wakati hauko karibu na radio yako, stori muhimu zinakupita.. Najitahidi kuhakikisha uchambuzi wa Stori za Magazetini ambao unakuwa unafanywa redioni haukupiti.

Nimekurekodia stori zote zilizochambuliwa kwenye Magazeti na kukuwekea hapa sauti yote, iko stori ya Wabunge kuanza kujadili Bajeti ya mwaka 2015/16 leo, Waziri Samuel Sitta kurejesha form yake ya kugombea Urais leo makao makuu ya CCM Dodoma.. William Ngeleja nae yuko kwenye list ya wanaoutaka Urais 2015.

Kuna stori pia kuhusu ugonjwa wa ajabu uliozuka Sengerema unaofanana na dalili za ugonjwa wa Kaswende, inasemekana ugonjwa huo haumbukiza kwa njia ya kujamiiana.. Stori hizo zote na nyingine kubwa ziko kwenye hii sauti hapa kutoka @PowerBreakfast #CloudsFM

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupitejiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments