Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti Feb 29 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

Feb 29 kupitia Power Breakfast ya Clouds FM kwenye uchambuzi wa magazeti baadhi ya stori zilizopata nafasi ya kusikika ni pamoja hii, Hofu ya madiliko makubwa Polisi, Waziri wa mabo ya ndani atao tamko, IGP Mangu aguswa, Rufa ya Babu Seya yaanza kunguruma Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika leo wanatarajia kupitia maombi ya rufaa  ya mwanamziki Babu Seya.

Kuanzia march 7 2016 Walimu Dar kutolipa nauli za daladala wamiliki Dar wamuunga mkono  Dc Paul Makonda, vitambulisho maalamu kutumika kuwa tambua, Aingia jela mtoto atoka mzee, Mbowe aonya utumbuaji majipu, Vyuo vya Ualimu vya mwagiwa fedha, na Mahakama ya Mafisadi yaiva.

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments