Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 1 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

Uchambuzi wa magazeti March 1 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari kubwa leo ni pamoja na hii, Majaliwa amtumbua Daktari jipu kwa shilingi laki moja, atoa maagizo mazito kwa vigogo wa mkoa, Mgonjwa afichua siri alivyo ombwa rushwa, Makonda apingwa kila kona, walimu wamtaka aache kutumika, Halima Mdee akamatwa alazwa kituo cha Polisi.

Mazito yaibuka uporaji benki kwa mabomu, Serikali ya awamu ya nne ilijaa kuleana, Utata wagubika Uteuzi bosi Bandari, Hakimu: Zuio umeya Dar feki, Mbowe apoteza matumaini :afikiria kuachia ngazi chadema yaliyomkuta Bukoba ni siri yake.

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments