Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 2 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

Uchambuzi wa magazeti March 2 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari kubwa leo ni pamoja na hizi, Tumechoka ni kauli ya  Chadema, Wabunge Madiwani wake wakamatwa, CCM yashinda Kilombero kwa goli la mkono, waliokatamatwa Harusini tukio la ujambazi waachiwa, Vurugu tupu uchaguzi Meya Dar na Kilombero, Waziri asimamisha wauguzi 6 Hospitali ya Temeke kwa rushwa ya shilingi elfu tano.

Tanesco yaomba umeme ushushwe, Kofia ya CCM kumtenga Magufuli na wananchi?, wabunge wa UKAWA wasakwa kila kona, Bei ya dizeli, petroli, mafuta ya taa yashuka, Gesi nyingine yapatikana mkoani Pwani.

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments