Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 4 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

Uchambuzi wa magazeti March 4 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari kubwa leo ni pamoja na hizi Dar yapata hasara ya bilioni 4/ kwa siku, msongamano katika barabara za Jiji la Dar unadaiwa kusababisha hasara ya sh. bilioni nne kwa siku na sasa  mkakati mpya ni kuzuia magari yenye uzito wa zaidi ya tani 10 kuingia mjini.

Muuguzi asababisha vifo vya mapacha, Jeshi la Polisi Jijini Manza jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi na risasai za moto  kutuliza fujo kati ya wagonjwa na muuguzi katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana

Serikali kuacha kupeleka wagonjwa nje ya Nchi kutibiwa, Dar es salaam Serikali imesema ina mpango wa kusitisha kupeleka wagonjwa nje ya nchi kupatiwa matibabu na kuhakikisha kila kitengo katika Hospitali ya  Taifa Muhimbili (MNH) kinakuwa na chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalamu (ICU)

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini… 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments