Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 7 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

March 7 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kumba leo ni pamoja na hizi..Rais Magufuli amaliza kivuli cha Jk Ikulu, nibaada ya kumuondoa Balozi Sefue aliyeshirikiana naye kutumbua vigogo wa umma, wasomi wataka sababu za kuondolewa zitajwe wadai Rais anatengeneza himaya yake

Wauguzi wasababisha vifo vya mama, pacha, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amewasimamisha kazi madkatari wawili na wauguzi wanane katika Hospitali ya Mkoa huo ya Sekou Toure na Butimba kwa kusababisha vifo vya mama, Pendo Masanja na pacha.

Walimu kuanza ofa ya usafiri leo, Walimu wa Mkoa wa Dar es salaam, leo wataanza kusafiri bure kwenye daladala huku chama cha madereva Tanzania (TADU), kikiwashukia wanasiasa wanaobeza mpango huo

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments