Magazeti

Mgomo tena? Wanaodaiwa elimu ya juu je? January Makamba, akishindwa Urais anarudi wapi?.. #PowerBreakfast

on

pb

Majangili wamekamatwa na vitu mbalimbali Kagera, wadaiwa sugu vyuo vikuu kutopewa hati za kusafiria nje ya nchi, wasichana na wanawake 700 wameokolewa kutoka kwenye kambi ya Boko Haram, hizi na nyingine nyingi zimetawala kwenye magazeti leo May 2 2015.

Iko stori ya CHADEMA kukutana Dar kujadili mgombea Urais, January Makamba amesema kama akishindwa Urais anarudi Jimboni kwake.. nyingine inahusu vijana wa CHADEMA Arusha ikiwemo aliyekuwa dereva wake wametangaza kupambana na Lema, madereva wa mabasi wamesema leo wanafanya mgomo tena.

Kuna mahojiano na Katibu wa Chama cha Madereva akizungumzia ishu ya mgomo wa leo.

Play usikilize uchambuzi huo uliofanywa na PowerBreakfast @CloudsFM

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments