Magazeti

Kilichotawala headlines >>Chenge, Magufuli.. walioghushi muhuri wa IGP, Bajeti ya Wizara kukataliwa.. #PowerBreakfast (Audio)

on

coffee-newspaper-keyboard

Leo kwenye stori kubwa magazetini iko ya Mbunge Andrew Chenge kugomea kuendelea kuhojiwa na Tume ya Maadili kuhusu ishu ya ESCROW, wanafunzi wa kidato cha sita ambao wameanza mtihani jana ni baadhi ya watu ambao wameathiriwa sana na ishu ya mgomo.

Raia watatu wa Ugiriki na Mtanzania mmoja wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kwa kosa la kughushi muhuri wa IGP Mangu, Kamati yaikataa Bajeti ya Wizara ya Maliasili kutokana na kupuuzwa kwa mapendekezo yao, idadi ya wakimbizi wanaoingia toka Burundi imeongezeka.

Stori nyingine inahusu raia wa Kenya ambaye ana asili ya Uarabuni amekamatwa kwa kujaribu kufungua mashine ya ATM na nyingine Kamati ya Bunge ya Miundombinu wamemfukuza Waziri Magufuli baada ya  kushindwa kutoa maelezo kuhusu Serikali itakavyolipa madeni ya wakandarasi.

Nilichokirekodi kwenye #PowerBreakfast utaweza kukisikia hapa wakatii wa uchambuzi wa Magazeti ya leo May 5 2015.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments