Magazeti

Uchambuzi wa stori za Magazeti JUNE092015>>> Mdahalo wa Urais TZ, ishu ya Bandari ya DANGOTE Mtwara !!

on

FacebookStories

Uchambuzi wa Magazeti ya leo ulikupita? Nimekurahishia uzipate na wewe stori zote mtu wangu, nimerekodi na stori zote kubwa kutoka Magazetini utazisikia hapa.

Mdahalo wa Wagombea Urais wa CCM uliofanyika jana umezua gumzo,  baadhi ya washiriki wameshindwa kuhudhuria, Waziri William Lukuvi  ametangaza kupunguzwa kwa  kodi za Ardhi TZ.. stori nyingine inahusu Dr. Slaa kuanza ziara ya siku nne Ulaya.

Iko stori pia kuhusu eneo alilopewa  Bilionea Alhaji Aliko Dangote kwa ajili ya kujenga Bandari Mtwara limezua gumzo Bungeni… Stori zote zilizosikika leo kwenye Uchambuzi huo unaweza kuzisikiliza hapa mtu wangu.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments