Magazeti

Niliyokurekodia kwenye Uchambuzi wa stori kubwa za magazeti leo March 3 2016… #PowerBreakfast (+Audio)

on

Katika Uchambuzi wa magazeti March 3 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari zilizopata nafasi ni pamoja na

Askari wanne wa JWTZA mkioani Mbeya wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua kwa kukusudia kinyume cha sheria za nchi.

Watumishi watatu wasimamishwa kazi Ghala la Taifa la Hifadhi Chakula, kwa kuchanganya kwa makusudi mahindi mabovu na mazima kisha kuwapa wananchi

Zuio uchaguzi wa Meya Dar es salaam, msimamizi asema aliletewa maelezo bila kujua kama ni halali au la.. mwanasheria wa jiji naye adai hajui lilikotoka.

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments