Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 14 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

March 14 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa

Magufuli apangua wakuu wa Mikoa, atema 12 wazamani ateuwa wapya 13, ampa Makonda Dar awakubuka mawaziriwalio anguka uchaguzi Mkuua

Mbowe atoboa siri uteuzi Dr. Mashiji, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametoboa siri ya kumteua Dr. Vicent Mashinji kuwa katibu Mkuu wa chama hicho.

Chadema Yaja, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesmema kuwa kitafanya siasa za kimataifa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ili kiweze kushika na kuongoza Dola.

Bonyeza Play hapa chini kusikilza sauti..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Ulikosa kuangalia Video ya Washindi wa tuzo Lulu na Richie walivyomfikia Makamu wa Rais Dar 

Soma na hizi

Tupia Comments