Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 25 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

March 25 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kubwa leo ni pamoja na hizi

Zitto, Bashe nao watua Takukuru, nikuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya Wabunge, wahojiwa kwa saa mbili sababu za kujiuzulu kwao,

Nyani 61 wawaponza vigogo wa Maliasili, Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amewasimamaisha kazi wakurugenzina wakuu wa idara 11 wa mamlaka ya huduma za Misitu na Wanyama Pori kwa tuhuma za kushiriki nyanja za kusafirisha nyani 61

Mkapa, JK wakosekana kuapishwa kwa Shein, Marais wastaafu wa awamu ya tatu na ya nne wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, jana hawakuudhuria sherehe za kumuapissha Rais  wa Zanzibar, DR. Ali Mohammed Shein

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa

Soma na hizi

Tupia Comments