Premier Bet
TMDA Ad

Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 9 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

March 9 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kumba leo ni pamoja na hizi

Mawaziri wanaosubiria kutumbuliwa, Mawaziri wanne wa Serikali ya awamu ya tano ya Rais Dk. John Magufuli wanakabiliwa na hatari ya kutumbuliwa majipu kutokana na tuhuma za ufisadi na za kiutendaji zinazowakabili.

Serikali yashusha bei ya sukari hadi 1’800/ kwa kilo, Bodi ya sukari Tanzania imeshusha bei ya sukari kwa kutangaza bei elekezi, inaonyesha bidhaa hiyo kuanzia 1,800 kwa kilo nchini kote.

Seif: CUF Z’bar haijakata tamaa, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Self Shariff Hamad amesma wakati uchaguzi wa marudio Zanzibar ukitarajia kufanyika Machi 20, mwaka huu, anaamini Wazanzibar walifanya uamuzi wa kumchagua Rais, na wawakilishi na Madiwani katika uchaguzi mkuu iliofanyika Oktoba 25 2015

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Ulimiss kuangalia VIDEO: Mtazame huyu anaeigilizia sauti ya J.Kikwete na Dr. Magufuli uniambie kampatia nani

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments