Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti May 02 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

May 02 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

JPM apunguza kodi ya mshahara kwa sh 1,100 ni baada ya kupunguza  kodi kutoka asilimia 11 hadi 9, wafanyakazi jana walimsomea Rais John Magufuli madai lukuki wanayotaka awatimizie likiwamo la nyongeza ya mishahara lakini mkuu huyo wa nchi alitangaza kupunguza kodi ya Mshahara (PAYE) kwa asilimia mbili.

Matusi ya mke wa Waziri yampandisha cheo trafiki, Matusi aliyodaiwa kutoa mke wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Kikanda na Kimataifa Dk. Augustine Mahiga kwa aaskari wa kikosi cha usalama barabarani imegeuka neema kwa askari huyo. 

Mmiliki wa UDA kikaangoni, Wabunge wa jiji la Dar es salaam, wanatarajia kumtumbua mmiliki wa Shirika la Usafiri Dar es salaam (UDA) kwa kitendo cha kujimilikisha shirika hilo kinyume cha utaratibu

Unaweza kubonyeza Play hapa chini kusikiliza

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIIKOSA YA MAGUFULI SIKU YA MEI MOSI? ‘WASIOTAKA KAZI SABABU WALIZOEA KULIPWA MILIONI 30 WAACHE KAZI HATA LEO’ UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments