Magazeti

Sikiliza Dakika 17 za uchambuzi wa Magazeti May 05 2016

on

May 4 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

Uenyekiti CCM mjadala mkali, sasa ni dhahiri kuwa hali si shwari ndani ya CCM baada ya kujitokeza kundi linalomshinikiza mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete kusita kukabidhi chama kwa Rais John Magufuli kabla ya muda wake kumalizika.

Siri ya Nyumba ya milioni 50 kutobolewa yatajwa, mmiliki aeleza alivyompigia magoti mwenye eneo alipojenga asivunje nyumba yake, bali awapatie watoto yatima

Unaweza ukabonyeza Play hapa chini kusikiliza…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIIKOSA HII YA NAIBU WAZIRI WA AFYA, KIGWANGALLA ‘WAMAMA AMBAO HAWABEBI MIMBA KUPATA UGONJWA WA MYOMA’,UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments