Magazeti

DAKIKA 9 za kuperuzi na kudadisi Magazeti ya Tanzania May 06 2016 (+Audio)

on

May 6 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

Tundu Lissu: Waliotumbuliwa ‘majipu’ waende mahakamani, Kambi Rasmi ya upinzani bungeni imewataka watendaji wote wa serikali waliotumbuliwa majipu kwenda mahakamani ili kupata haki zao na kukomesha vitendo vya kuendesha nchi bila kufuata sheria.

Mbunge wa Muleba Kusini, Anna Tibaijuka(CCM), amewaambia wabunge wanaomuita mwizi wataisoma namba, kwa kuwa hatishwi na vitu vya ovyo ovyo.

Unaweza ukabonyeza Play hapa chini kusikiliza…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIIKOSA YA PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKICHANGIA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments