Magazeti

Nimekurekodia magazeti ya Tanzania leo May 14 2015 yakisomwa Redioni.

on

mmgz1Kuperuzi na Kudadisi ni moja kati ya vipengele vinavyokamilisha kipindi cha Power Breakfast CloudsFM ambapo ni dakika chache maalum kwa ajili ya kuchambua makubwa yote yaliyoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya Tanzania.

Unaweza kuisikiliza Clouds Fm ukiwa Moshi na Arusha kupitia 87.9 Mtu wangu,ukibonyeza play hapa chini utaanza kusikiliza moja kwa moja uchambuzi huo.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments