Magazeti

Uchambuzi wa stori kubwa redioni February 1 2016 >> Uchaguzi Z’bar? Bungeni Dom na mengine .. (+Audio)

on

Askofu Mkuu KKKT awashukia Polisi akidai wanatumika kuzuia Demokrasia Bungeni, Ikulu yafafanua kuhusu Rais Magufuli kumuagiza Mama Samia kwenye Mkutano wa Marais, Jengo la ghorofa 16 kuanza kubomolewa leo Dar baada ya Waziri Lukuvi kuagiza, Dk. Shein asema CCM haijasusia maarudio ya Uchaguzi Zanzibar.

Kuna stori pia kwamba Bunge linakaa leo kujadili mpango wa maendeleo wa mwaka mmoja, Serikali yaagiza vibarua kupewa mikataba ili kupunguza migomo… Mawaziri, Wabunge, Wakurugenzi na wakwepa kodi wakosa raha kutokana na kasi ya maagizo na utendaji wa Rais Magufuli.

Mamlaka ya TRA imesema inafanya mpango wa kukusanya mapato kutoka kwenye kumbi za sherehe, wapishi na washereheshaji kulipa kodi.

Stori zote ziko kwenye sauti yake hapa kama ulipitwa redioni kwenye uchambuzi wa Powerbreakfast.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments