Magazeti

Uchambuzi wa stori kubwa Magazetini February 2 2016 >> ya Bungeni? uokoaji kivuko? aliyejinyonga? .. (+Audio)

on

Polisi Mkoa wa Simiyu inawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya rubani wa helikopta, Mbunge Saed Kubenea amesema kauli yake Bungeni kuhusu wanawake hakuwadhalilisha, Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amwambia Rais Magufuli asafiri kwenda nje ya nchi ili apate uzoefu wa kuongoza.

Shughuli ya kunasua kivuko cha Kilombero yakwama kutokana na hitilafu ya umeme, mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha ualimu Arusha ajinyonga baada ya kujifungua mtoto njiti.

Stori hizo na nyingine zote kubwa ziko pia kwenye sauti ya uchambuzi uliofanywa redioni leo kwenye Powerbreakfast.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments