Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Stori za Magazeti ya Tanzania January 19 zilivyosomwa Redioni CloudsFM (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Stori za Magazeti ya Tanzania January 19 zilivyosomwa Redioni CloudsFM (+Audio)
Magazeti

Stori za Magazeti ya Tanzania January 19 zilivyosomwa Redioni CloudsFM (+Audio)

January 19, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Mambo sita ya kulitikisa Bunge yatajwa, Katiba, elimu na hotuba ya JPM nayo yapo.

Bomoabomoa yatikisa tena Kinondoni Dar, Jeshi la Polisi latumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliofunga barabara na kuchoma moto matairi, nauli mabasi ya haraka balaa tupu, Chama cha abiria chatishia kuifikisha SUMATRA Mahakamani… Tahadhari yatolewa kuhusu mvua kubwa kunyesha Lindi, Ruvuma, Njombe Rukwa na Mbeya… Morogoro na Dar wako waambiwa wachukue tahadhari.

Polisi mmoja Arusha ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha sita… Wakurugenzi watendaji wawili Kigoma na Katavi wasimamishwa kazi kwa tuhuma za kuisababishia hasara Serikali.

Mzee Edward Lowassa amesema Mameya na Wabunge wa UKAWA watakaoshindwa kazi watatimuliwa, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu CAG yadaiwa kufanya matumizi mabaya ya fedha za umma…

Dereva wa bodaboda afikishwa Mahakamani Dar kwa tuhuma za kumbaka Askari wa JWTZ, Jeshi la Polisi Dar lafumua mtandao wa dawa za kulevya, watuhumiwa watatu wakamatwa… Mwili wa marehemu Leticia Nyerere kuwasili leo, wanawake wanaojiuza Mkoa wa Mara wapewa siku mbili za kuondoka, wadaiwa kuchangia ndoa nyingi kuvunjika.

Stori ziko kwenye uchambuzi wa sauti kutoka redioni Clouds FM wakati wa Powerbreakfast.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 25, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo January 19, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article REPEAT: Dar es salaam inasubiria daraja la Kigamboni, tazama lilivyojengwa juu ya bahari
Next Article Top 10 ya stori kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 19 2016.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?