Magazeti

Mgomo wa UDA ? Familia ya JK na ishu ya bandarini? mapya Ocean Road? Hizi hapa zote..

on

December 25 2015 ninazo stori kubwa kwenye mkusanyiko wake kama ambavyo zimegusa kwenye uchambuzi wa redioni #CloudsFM… hapa nimeanza kwa kuzigusa moja baada ya nyingine mtu wangu.

Serikali yaahidi kumulika ajira za wageni, waajiri wagizwa kutoa kipaumbele cha ajira kwa wenyeji.. kuna stori pia kuhusu utata ulioibuka shirika la UDA, madereva na makondakta kutishia kugoma.

Mapya yaibuka hospitali ya Ocean Road, yakabiliwa na uhaba wa dawa… Mbunge Ridhwani Kikwete aibuka na kukanusha shutuma za kuhusishwa na makontena yaliyotoroshwa kukwepa kodi bandarini.

Waziri Mkuu Majaliwa aagiza viongozi wa dini kupambana na tatizo la dawa za kulevya… Mufti Mkuu wa Tanzania aagiza WaTZ kushikamana kulinda amani, Mbunge Zitto Kabwe amesema watawanyoosha Mawaziri wa Magufuli ili wafanye kazi… Mwalimu Mkuu shule moja ya Msingi iliyopo Shinyanga ahukumiwa miaka 5 jela kwa kesi ya kuomba na kupokea rushwa.

Jeshi la Polisi limesema mawakala wa mabasi waliopandisha nauli watapandishwa kizimbani.

Kuna tatizo kidogo mtu wangu sauti ya PowerBreakfast imeshindikana kukusogezea hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments