Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mapya ya UDA? Bungeni Dodoma? Machinga wa Dar? Magufuli na majipu TZ? Uchambuzi redioni (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Mapya ya UDA? Bungeni Dodoma? Machinga wa Dar? Magufuli na majipu TZ? Uchambuzi redioni (+Audio)
Magazeti

Mapya ya UDA? Bungeni Dodoma? Machinga wa Dar? Magufuli na majipu TZ? Uchambuzi redioni (+Audio)

January 22, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Kamati za Bunge zatangazwa, baadhi ya Wabunge machachari waachwa… Mfanyabiashara maarufu wa mabasi ya mikoani adaiwa kumficha mwanamke mmoja kwa zaidi ya mwaka mmoja maeneo ya Mbezi Dar, tukio lahusishwa na ushirikina.

Ofisa mmoja wa TAKUKURU Dodoma auawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiofahamika, shirika la UDA laweka wazi kuhusu umiliki wake, Manispaa ya Kinondoni iko kwenye mpango wa kutengeneza vitoroli kwa ajili ya wamachinga.

Rais Magufuli atua Arusha kwa ziara ya kwanza, aahidi kutoacha kutumbua majipu.. Rais Magufuli amteua mstaafu JK kuwa mkuu wa Chuo UDSM.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa, nchi ina akiba ya chakula cha kutosha, Bernard Membe amesema kiuhalisia Rais Magufuli hajapunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri.

Stori ziko kwenye sauti pia mtu wangu niliyorekodi Powerbreakfast ya Clouds FM.

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 25, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo January 22, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Video: Hospitali ya Muhimbili kuwahudumia wagonjwa wa moyo bure
Next Article Haya hapa matokeo ya mtihani wa wanafunzi darasa la nne Tanzania 2015
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?