Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM.
Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza
Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma na kukutwa na vipande zaidi ya 150 vya pembe za ndovu… Kuna stori pia kuhusu Polisi mmoja kutoroka baada ya kutajwa kuhusishwa na utoroshwaji wa madini ya Tanzanite.
Mtu mmoja ajihami kwa kinyesi cha binadamu baada ya kukutwa akilangua tiketi Ubungo.. Mkurugenzi wa RAHCO ang’olewa na Rais Magufuli kupisha uchunguzi.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.