Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Uchambuzi wa stori kubwa magazetini >> ya Bungeni Dom? bomoabomoa? waliotumbuliwa NIDA?
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Uchambuzi wa stori kubwa magazetini >> ya Bungeni Dom? bomoabomoa? waliotumbuliwa NIDA?
Magazeti

Uchambuzi wa stori kubwa magazetini >> ya Bungeni Dom? bomoabomoa? waliotumbuliwa NIDA?

January 27, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Mbunge Andrew Chenge achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge, mwili wa kijana mmoja wazuiwa siku 27 India baada ya ndugu kushindwa kulipia gharama za matibabu yake, siri ya waliotumbuliwa Mamlaka ya Vitambulisho NIDA yaanikwa, baadhi wakutwa na mali nyingi.

Hotuba ya Rais Magufuli yazua zogo Bungeni Dodoma, nyumba ya Dr. Slaa yapigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni la benki, moto wateketeza hoteli moja Zanzibar, CHADEMA watishia kumshitaki Mkurugenzi wa Kilombero, wadai alimdhalilisha Mbunge wao.

Maagizo mbalimbali ya Mawaziri wa Magufuli yaonekana kusuasua kutekelezwa.

Baadhi ya vijana waliobomolewa Kinondoni wadai wameamua kujihusisha na wizi baada ya nyumba zao kubomolewa, wanaume Eritrea walazimishwa  kuoa wake wawili kutokana na uhaba wa wanaume.

Stori hizo na zote kubwa za leo ziko hapa kutoka kwenye uchambuzi wa redioni Clouds FM.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 25, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo January 27, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hadi kufikia August 2014, hii ndio ilikuwa TOP 10 ya style mbaya za nywele kwa mastaa wa soka …
Next Article Maiti ya Mtz India, Chenge na Escrow, Mafisadi Papa Kizimbani, Bulaya apingwa…MAGAZETINI
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?