Magazeti

Nimekurekodia habari Hot kwenye Magazeti ya leo Feb 16, wakati yakisomwa kwenye Power Breakfast.

on

Kama ulikuwa mbali na Radio yako ukashindwa kusikiliza Magazeti  yakisomwa hewani leo feb 16, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, nimekurekodia unaweza kusikiliza hapa.

Baadhi ya habari zilizopata nafasi ya kusikika nipamoja na Serikali nchini imetangaza kuwa  ugonjwa wa Kipindupindu umerejea tena Dar es salaam, na hadi sasa ripoti zinaonyesha kuwa wagonjwa 6 wamelazwa katika Hospitali ya Temeke,  Wafanyakazi waTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wametakiwa kubainisha umiliki wa mali zao zote wanazomiliki, Watu wawili wamefariki akiwemo Askari Polisi mkoani Tanga, Katika tukio la kurushiana risasi baina ya Polisi na majambazi waliokuwa wamefanya uvamizi.

Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza uchambuzi huo…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwapia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments