Magazeti

Umezipata rekodi za Mtanzania aliekamatwa Kenya kwa Ugaidi? shuleni kwao wamesemaje? Baba mzazi je?

on

localMengine yamesikika leo Alhamisi April 9 2015 kupitia CloudsFM, ni kama hukusikiliza story za uchambuzi wa Magazeti kwenye POWER BREAKFAST nimekurahisishia kila kitu, utazisikiliza hapa na pia kuzisoma mtu wangu.

Iko stori ya Kiongozi wa Chama cha ACT, Zitto Kabwe kusema zaidi ya Wabunge 50 watajiunga na chama hicho, Wizara ya kilimo na chakula imewasimamisha kazi wakurugenzi watatu kutokana na tuhuma mbalimbali, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe nae kasema jamii za Afrika zinatakiwa kuwa kitu kimoja ili kuepuka machafuko yanayotokea.

Nyingine ni ishu ya Polisi kuzuia mtu yoyote kumsindikiza Askofu Gwajima leo anapoenda kuhojiwa, TABOA imesema madereva waliopanga kugoma hawatambuliwi kisheria na wazazi wa Mtanzania, Rashid Charles Mberesero anaetuhumiwa kuhusika katika mauaji katika Chuo cha Garissa Kenya wameelezea kushtushwa na taarifa za mtoto wao.


Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments