Magazeti

Zilizosikika leo.. Polisi na Gwajima, ajali Tanga na Moro na mengine ya uhalifu…#PBCloudsFM

on

35326377_LITKaribu tena mtu wangu, POWERBREAKFAST ya Clouds FM imefanya uchambuzi wa story zote kubwa kwenye kurasa za Magazeti TZ, unaweza kusoma na kusikiliza stori zote zilizosikika hewani leo April 10.

Askofu Gwajima ametakiwa kuwasilisha Polisi vitu kumi vinavyohusu usajili, umiliki, uongozi na mali za Kanisa analoliongoza, watu 12 wamefariki katika ajali mbili tofati zilizohusisha mabasi yaendayo mikoani, IGP mstaafu Omari Mahita amesema kuongezeka kwa uhalifu nchini kunatokana na Askari kupoteza hadhi, na kivuko cha Dar hadi Bagamoyo kinatarajia kuanza safari zake kesho.

Kwenye uchambuzi huu wa Magazeti kulikuwa na mazungumzo na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi mkuu LUBADA Aloyce Masanja ambae amezungumzia tuhuma zinazomkabili.

104.1 Clouds FM inasikika ukiwa Bukoba.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza story zote…

Hakuna Stori itakayokupita mtu wangu,niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments