AyoTV

Kama hujaiona video mpya ya Rich Mavoko ni hii hapa inaitwa Pacha wangu.

on

chuiHii ni video mpya kutoka kwa Rich Mavoko ambayo mpaka sasa imezungumzika kwa kiasi kikubwa na wadau wa muziki licha ya kuwa ina saa chache tu tangu itoke rasmi kwenye mitandao.

Inaitwa Pacha wangu,upande wa audio imefanywa pale pale ilipotoka hit single ya Roho Yangu studio inaitwa Mazuu Records,video hii imefanywa South Africa na director kutoka Bongo Adam Juma.

Bonyeza play kutazama.

Tupia Comments