AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alivyomuita jamaa aliyepaza sauti ‘Watanzania tuko nyuma yako’

on

Hawakosekani wanaopenda hata kumshika mkono Rais Magufuli ambapo Omary Ramadhani ni mmoja wao, Rais Magufuli alipokua kwenye maonyesho ya sabasaba jamaa huyu alipaza sauti akiwa mbali kidogo ikafanya Rais amuone na kumuita.

ULIKOSA KUONA KILICHOMCHEKESHA RAIS MAGUFULI IKULU JAPO ALIKUA KAWEKA USO WA KAZI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments