AyoTV

Swali la Nape Nnauye Bungeni leo (+Video)

on

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo January 31, 2018 katika kipindi cha maswali na majibu ambapo alihoji sababu za Serikali kuwa na gharama tofauti kwa wateja wakati wa kuwaunganishia huduma za umeme. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu

Mzee Majuto baada ya kutembelewa hospitalini na Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments