Michezo

Kingine alichokifanya mwanasoka wa dunia… Pele

on

pele_diamante_ae_95Mwanasoka anayetajwa kuwa bora kuliko wote waliowahi kutokea duniani mbrazil Pele ametumia fursa ya kombe la dunia kutambulisha biashara ya kumuingizia mkwanja.

Kwa kutumia nywele zake mbrazil huyo ametengeneza almasi za  mchanganyiko wa carbon inayopatikana kwenye nywele pamoja na almasi yenyewe.

BksUZzKCQAATlWOKutokana na mchanganyiko huo zimepatikana almasi 1283 zenye thamani ya dola za kimarekani 7,500 ambapo namba ya idadi ya almasi ni sawa na idadi ya magoli aliyofunga Pele katika maisha yake ya soka la kulipwa.

Taarifa kamili inaamplfy kwamba almasi hizi zitauzwa wakati wa michuano ya kombe la dunia itakayoanza June 2104.

Tupia Comments