social network

Maneno 17 aliyoyaandika Waziri Nape leo

on

March 20, 2017 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye alitumia muda wake kuandika ujumbe kupitia account yake ya Twitter na kusema…>>>’Majaribu huja ili kutuinua kutoka utukufu hadi utukufu. Kikubwa tusikate tamaa! Utukufu mkubwa upo mbele! Kwaresma njema.’

VIDEO: Maamuzi ya Waziri Nape baada ya taarifa ya kuvamiwa Clouds Media

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments