AyoTV

VIDEO: Swali la Nape Nnauye Bungeni leo

on

April 12, 2017 mkutano wa saba wa bunge, kikao cha sita umeendelea ambapo katika kipindi cha maswali na majibu kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuhoji Serikali ni pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyetaka kujua mpango wa Serikali kuanzisha viwanda vidogovidogo vya kukamua mafuta ya ufuta katika mkoa wa Lindi.

VIDEO: Alichokiongea Zitto Kabwe Bungeni kuhusu matukio ya utekaji 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments