Michezo

Perez achaguliwa tena Rais Real Madrid

on

Rais wa Real Madrid Fiorentina Perez (74) amechaguliwa kwa mara ya tano mfululizo (mara sita kwa ujumla) kuwa Rais wa Real Madrid katika kipindi cha miaka minne ijayo (2025).

Perez sasa anaiongoza Real Madrid kwa mwaka wa 12 mfululizo toka alipochukua nafasi ya Ramon Calderon June 2009 hadi leo amekuwa akiaminika zaidi.

Hii inatokana na utamaduni wake aliouanza toka mwaka 2000 alipoingia kuiongoza Real Madrid kwa mara ya kwanza kama Rais huku akifahamika kwa kufanya usajili wa wachezaji wa kubwa na rekodi ya Dunia kama (Kaka, Ronaldo, Cristiano Ronaldo, Zidane, Luis Figo na wengineo.

Soma na hizi

Tupia Comments