Michezo

Perfect Chikwende asajiliwa na Simba SC

on

Club ya Simba SC imethibitisha kuwa imemsajili mchezaji Perfect Chikwende kutokea FC Platinum ya Zimbabwe.

Chikwende aliingia katika rada za Simba SC baada ya kuwafunga Simba katika mchezo wa round ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jijini Harare Zimbabwe.

Taarifa hizo sasa ni rasmi baada ya awali kuwa kama tetesi, Simba hawajataja wazi mkataba wa miaka mingapi wamempa Chikwende lakini inasemekana ni mkataba wa miaka miwili.

Soma na hizi

Tupia Comments