Habari za Mastaa

‘Pesa Kidogo umeenda kubadilisha Jino’ Marioo amchana Meja Kunta baada kwenda kuziba Pengo

on

NI headlines za Mkali kutokea kwenye uimbaji wa nyimbo za Singeli, Meja Kunta ambae leo ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuliziba pengo lake, sasa miongoni mwa wasanii waliomtani ni Marioo ambae aliandika ‘Pesa kidogo tu umeenda kubadilisha Jino’

Soma na hizi

Tupia Comments