AyoTV

VIDEO: Wizara ya katiba na sheria imeomba kutengewa zaidi ya Bilion 166

on

April 25, 2017 Wizara ya katiba na sheria imewasilisha bungeni mpango wa makadirio ya bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambayo ni Shilingi 166,479,908,000 ambapo kazi ya kuwasilisha ilifanywa na Waziri wake Prof. Palamagamba Kabudi.

VIDEO: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo April 25, 2017 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments