AyoTV

VIDEO: Nape alivyosimama kwa mara ya kwanza bungeni tangu atenguliwe Uwaziri

on

Ni siku kadhaa zimepita tangu aliyekuwa Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo, Nape Nnauye atenguliwe nafasi hiyo. Leo April 04 2017 kwenye mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nape Nnauye ameuliza swali lake la kwanza bungeni tangu atenguliwe kwenye nafasi ya uwaziri. Bonyeza play hapa chini kuitazama

LIVE BUNGENI: Kipindi cha maswali na majibu April 04 2017 

VIDEO: Wabunge walivyomsindikiza Mama Salma kikwete kula kiapo Bungeni 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments