Video Mpya

VideoMpya: Prof Jay ‘PAGAMISA’ ft. T Touch

on

Mbunge anaeongoza binadamu na wanyama Joseph Haule ambae ni Mbunge wa Mikumi wengi tunamfahamu kama Prof. Jay katuletea video ya wimbo wake wa ‘Pagamisa’ akiwa kamshirikisha Producer Mr T Touch.

“Movie la kizombi Ex-Girlfriend, Cd zinapatika kila kona ” -Msami

Soma na hizi

Tupia Comments