Top Stories

PICHA 9: Rais Magufuli alivyokutana na Rais Lungu wa Zambia leo Ikulu DSM (+Video)

on

Leo November 28, 2016 Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Lungu ambaye aliwasili nchini kwa ziara ya kikazi ambapo moja ya majukumu yaliyotajwa kwenye ziara yake ni pamoja na kusaini mikataba ya makubaliano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili.

Baada ya mazungumzo hayo Rais Lungu amehudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam. Nimekuwekea hapa chini picha za tukio hilo.

1-a 11 53 65 101 120 123 214

VIDEO: Kipo hapa kilichozungumwa na Rais Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia, Ikulu Dar es salaam

Soma na hizi

Tupia Comments