AyoTV

VIDEO: Mtanzania Haytham alivyopata nafasi ya kujiunga na PSG

on

Moja kati ya good news kwa soka la Tanzania ni kuhusiana na mtanzania Haytham Saadun kupata nafasi ya kujiunga na timu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa baada ya kufanya majaribio katika academy ya timu hiyo na kufuzu.

Haytham ambaye alikwenda kufanya majaribio na kufuzu anamalizia taratibu za mwisho kwenda kujiunga na timu ya vijana ya Paris Saint Germain ambapo alifuzu baada ya kwenda kufanya majaribio ya wiki mbili nchini Ufaransa wakiwa wamekunywa vijana kutoka sehemu mbalimbali

Haytham wa katikati pichani akiwa na wenzake waliyokuwepo katika majaribio PSG

AyoTV imempata katika exclusive interview na kumuomba aeleze majaribio yalivyokuwa hadi akapata nafasi ya kuijunga na timu hiyo.

VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments