Mix

VIDEO: Hii ndio simu kali msimu huu mtu wangu icheck hapa……

on

Smartphone zimeendelea kurahisisha maisha ya watumiaji wake kila kukicha. Najaribu kufikiri kama maisha bila muziki yangelikuwaje au muziki ungekuwepo lakini usingekuwa na kiungo chochote kile yaani mashairi tupu bila mdundo.

TECNO imekuja na Boom J8 Smartphone ya kijanja iliyotengenezwa maalumu kwa ajili ya wapenda muziki. Boom J8  ni kifaa kipya kabisa ambacho kimekuja mwishoni mwa mwezi wa April mwaka huu. 

Unaweza kuangalia video hizi hapa chini kufahamu muonekano, uwezo na uzuri wa Tecno Boom J8 

ULIKOSA ALIYOZUNGUMZA KUHUSU MA-MC KUTOZWA KODI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments