Ajali

PICHA 7: Maziko Arusha ya walioangukiwa na Mti

on

May 9, 2017 ziliripotiwa taarifa za watu watano kufariki baada ya kuangikiwa na mti katika kijiji cha Ngiresi kilichopo Kata ya Sokoni, Arusha kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha…sasa leo May 13, 2017 miili ya watu wanne kati ya watano imezikwa Arusha.

millardayo.com na AyoTV zilikuwepo na hivi ndivyo ilivyokuwa…

 

HUZUNI: Watu wengine watano wamefariki Arusha…

VIDEO: Historia ya eneo walikopata ajali Wanafunzi, Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments