Habari za Mastaa

PICHA 20: Kutoka katika fainali za kumtafuta Miss IFM kwa mwaka 2016

on

Usiku wa May 27 2016 ndio ilikuwa siku ya chuo cha usimamizi wa fedha (Institute of Financial Management) kumtafuta mrembo atakayerithi taji la umiss lililokuwa linashikiliwa na Miss IFM 2015 Sophia Basil Macha, mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae Glory Gideon akafanikiwa kushinda taji hilo.

2X6A0007 - Copy

Wakati mshiriki namba 13 Nasra Manna alifanikiwa kupata nafasi ya pili, huku aliyefanikiwa kupata nafasi ya umiss namba tatu ni Neema Michael, mashindano hayo ya kumsaka Miss IFM kwa mwaka 2016 yalifanyika na kupambwa kwa burudani mbalimbali.

2X6A0006 - Copy

2X6A0005 - Copy

2X6A0002 - Copy

2X6A9998

2X6A9985 - Copy

Miss IFM 2015 Sophia Basil Macha kabla ya kukabidhi taji

2X6A9978 - Copy

2X6A9964

2X6A9963

2X6A9959 - Copy

2X6A9951 - Copy

Meza ya majaji Martin Kadinda na Hamisa Mobeto walikuwa ni miongoni mwa majaji

2X6A9949 - Copy

2X6A0021 - Copy

2X6A9948 - Copy

2X6A0013 - Copy

2X6A0016 - Copy

Glory Gideon baada ya kushinda taji la umiss IFM kwa mwaka 2016

2X6A9924 - Copy

2X6A9922 - Copy

2X6A9920 - Copy

KAMA ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments