Miji/Nchi

PICHA&VIDEO: Moja kati ya sehemu wanayoipenda wageni ku-refresh Comoro

on

Ngazidja ni moja kati ya visiwa vinavyounda nchi ya Comoro ambapo miaka ya nyuma ilikuwa koloni la Ufaransa, inawezekana hujawahi kufika Comoro hususani katika kisiwa cha Ngazidja, leo nimekutana na moja kati ya fukwe zinazopendwa na wageni ku-enjoy.

Ufukwe uliyopo katika hotel ya Itsandra ambao upo Moroni katika hotel ambayo Yanga walifikia, umezunguukwa na mawe makubwa kwa baadhi ya maeneo, lakini kutunzwa kwake na kuwekwa katika hali ya usafi imekuwa ni sehemu nzuri kwa wageni hata wenyeji ku-enjoy na hata kuogelea wakati mwingine.

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments