Top Stories

Picha 10 kutoka Kagera miili ya Wanafunzi waliofariki ikiagwa

on

Miili ya waliokuwa wanafunzi 10 wa Shule ya Msingi ya Byamungu Islamic Seminary ya Kyerwa mkoani Kagera waliofariki Septemba 14 mwaka huu kwa ajali ya moto ulioteketeza bweni walilokuwa wamelala tayari inaagwa na kukabidhiwa kwa ndugu zao kwa ajili ya taratibu za mazishi.

MWANZO MWISHO RAIS MAGUFULI AKICHEZA WIMBO WA ZITTO KABWE

Soma na hizi

Tupia Comments